Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari ya leo Wakuu, katika kutaka kuongeza ujuzi na wigo katika elimu naomba kupata maoni kwa wale wataalamu. Je kati ya Diploma in Disaster Management na Diploma in Monitoring and Evaluation...
1 Reactions
0 Replies
791 Views
Mimi nilianzia QT mwaka juzi na nimemaliza Kidato cha nne mwaka Jana na matokeo yangu ni lama ifuatavyo, Civ 'C, Hist 'C, Geo 'C, Eng 'D, Kisw 'C, Phy 'C, Chem 'B, Bio 'C, Math 'A. Umri wangu ni...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari wakuu Nimechaguliwa electronics eng udsm ngaz ya bachelor naomba kujua hii course imekaaje maana vyuo vingne naona wamechanganya na course zngne kama tele na electrical Pia napenda kujua...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hellow members, naomba kufahamishwa shule zilizopo dar zinazopokea watoto wenye uhitaji maalum, hasa usonji. Nina mwanangu ana hyo shida
0 Reactions
2 Replies
869 Views
Haloo is me "Mr. Liverpool" again. Baada ya salamu, hebu tuingie kwenye hoja.. INTRODUCTION Mimi ni kijana mwenye miaka 32. Elimu yangu ni Masters ya mambo ya biashara. Ni mwajiriwa wa...
5 Reactions
108 Replies
8K Views
Habari wanafamilia wa jamiiforum ninaomba mniambie chuo kizuri cha cha serikali kinachotoa diploma ya Nursing na Midwifery.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari JF Mnamo tarehe 15 Oktoba 2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) walitangaza matokeo ya awali (...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni muda mrefu tangu mwezi wa pili kama sio januari tangu mitihani ya leseni ifanyike. Nauliza hivi hakuna mkataba wa huduma kwa mteja? Hivi ninyi mnaweza kuamua tu mkusanye pesa halafu mnakaa...
0 Reactions
4 Replies
395 Views
Salaam wana jamvi, Samahani naomba kufahamu vituo kama vitatu vya CPA kwa hapa Dar es Salaam
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia? Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma...
1 Reactions
9 Replies
666 Views
Napenda kuchukua fursa hii kuiomba serikali iondoe tofauti kati ya wanafunzi wa kozi ya Clinical Medicine waliomaliza mwezi wa Machi level 6 na wale wa Septemba. Inaonekana ni dhuluma kwa...
2 Reactions
4 Replies
752 Views
Ndugu watanzania naombeni mnisaddie jambo nimeomba Award Verification Number nikapewa muda kisha sikupewa nika update tena zaidi ya mara moja na jina langu lipo verified. Naombeni ushauri kwa...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Vyuo vikuu inakuaje board ya mikopo inaweka hela kwenye account za vyuo wiki mbili zinapita bado chuo haviandai voucher na cheques kupuleka bank wanafunzi wanapata pesa baada ya siku 84 sio 60...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamii, mimi nilihama mwezi wa tatu mwaka huu kutoka halmashauri A kwenda B ndani ya mkoa huohuo na uhamisho wangu ulishughulikiwa na Katibu Tawala Mkoa. Nimefatilia kuhamisha mshahara...
1 Reactions
13 Replies
8K Views
Nimekulia katika mazingira ya uanazuoni. Toka nimeanza kujitambua nilizungukwa na kila aina ya vitabu nyumbani. Niseme tu kuwa nyumbani kulikuwa na maktaba ndogo. Ukubwani napo nimejitahidi kwa...
21 Reactions
89 Replies
14K Views
Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali...
9 Reactions
117 Replies
6K Views
Wakuu natafuta short course ya monitoring and evaluation kwa hapa Tanzania au East Africa. Naomba kwa anayeweza kunifahamisha chuo au tahasisi inayotoa hii kozi, muda na gharama zake. Pia kama...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari zenu wana jamvi naomba mnifahamishe shule nzuri za advance ziwe boys tupu au co-education. Nakama mkieza kuniambia Na ada zao itakuwa vizuri zaidi. Natanguliza shukrani zangu. Sent using...
2 Reactions
17 Replies
14K Views
Habari zenu ndg Watanzania na wasio Watanzania tulioko humu ndani? Ndugu zangu awali ya yote poleni na majukumu zaidi shukurani kwa MUUMBA. Ndungu zangu nipo mbele zenu kwa ombi moja la kuomba...
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) ni Kituo cha Serikali chini ya Wizara ya Madini, Kinatoa mafunzo na huduma mbalimbali katika fani za uongezaji thamani madini. Kituo kinatangaza nafasi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom