Kuna jambo ambalo linaendelea hapa kwenye Shule ya Msingi Bunge iliyopo Kata ya Kivukoni, Mtaa wa Shaaban Robert, ndani ya Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam, Wanafunzi zaidi ya 30 wa Darasa nne...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuimarisha nafasi yake katika utafiti wa kitaaluma baada ya watafiti wake 15 kutambuliwa katika Tuzo za Utafiti za Kitaifa kwa kuchapisha matokeo ya tafiti...
Nina vijana wangu sita wanaosoma katika Chuo cha Mwalimu Nyerere pale Kigamboni wameathirika baada ya kufutiwa matokeo yao na kuambiwa kuwa walighushi matokeo.
Kwa maelezo tuliyoyapata, si watoto...
Wakuu natamani kuanza kusoma coarse ya umeme wa magari through online,kwa hivyo naombeni ushauri kwa wale wazoefu waliowahi kujifunzia mtandaoni ni changamoto Gani mmewahi kutana nayo na vipi...
Kijana wangu ana ufaulu wa div 3. Ufaulu wa masomo yake ni History B na Geography C.
Masomo yote yaliyo baki ni D. Je anaweza jiendeleza kama private candidate.
Niishi Geita, nilisoma katika Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mafinga (Mafinga College of Health and Allied Sciences – MACHAS), ambacho awali kilijulikana kama Clinical Officer Training Centre...
Habari ndugu zangu.
Naomba ushauri wa chuo bora kusoma Masters katika fani ya Mazingira, au waste management na course ipi nzuri ukiachana na Environment Management, Disaster management na...
Habari
Tangu Tarehe 9 tumelipia malipo ya serikali kutoka NMB kwenda kwenye control number UDOM NMB wamerudisha meseji malipo yamepokelewa lakini kwenye account ya KUOMBA CHUO UDOM hayajafika...
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayojitokeza katika Hospitali ya Rufaa ya St. Francis, Ifakara-Morogoro (St. Francis Referral Hospital), ambayo pia hutumika kama hospitali ya mafunzo (teaching...
Naomba ufafanuzi kuhusu vigezo vya udahili wa kozi ya Doctor of Medicine (MD).
Mwongozo wa TCU unaeleza kuwa mwombaji anatakiwa awe alisoma somo la Physics katika ngazi ya O-Level. Je, wanafunzi...
Nimemaliza form four, nina ufaulu wa division 1.16
Biology A
Chemistry A
Physics C
Ninawish kusoma afya course ya clinical medicine. Je kwa hali ya ajira sasa hivi inaweza kuwa niko sahihi...
Sisi walimu tuliomaliza mafunzo ya ualimu ngazi ya Astashahada miaka iliyopita, baadaye tukaamua kujiendeleza hadi ngazi ya Shahada, tunaomba ufafanuzi kuhusu changamoto inayotukabili katika...
Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu.
Pia soma:
~ Halmashauri ya...
HUYU KIJANA NI CLINICAL OFFICER MUAJIRIWA, ALISOMA CBG AKAPATA DIV 2 YA 12 mwaka 2016
ANAOMBA USHAURI AKASOME KOZI IPI KATI YA HIZI
1;Bach of land management and valuation
2; bach of project...
National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao...
Kwa nyakati tofauti nimeona watanzania wakilalamika kukosa usajili wa mabaraza ya kitaaluma hasa manesi na wafamasia pale wanapohutimu masomo yao ughaibuni na kurudi nchini kwajili ya kufanya kazi...
Mabasi ya chuo hayana seatbelts, na inatokea safari za masafa marefu kuenda kwa mfano Tanga, Moshi, Pwani, kitu ambacho sio salama
Wanafunzi tunatamani waboreshe hayo mabasi au wabadilishe...
Wahitimu wa UDOM 2025 hatujarudishiwa overpayment zetu licha ya kuandika barua za kuomba kurudishiwa.
Wengine waliokuwa wanadai kuanzia laki moja walilipwa ila sisi wenye tunaodai kuanzia laki...