Msaada:kuhusu madai ya walimu

Msaada:kuhusu madai ya walimu

dada dori

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
233
Reaction score
93
Habari!
Hv walimu wote mmeshalipwa madai yenu au bado kama mimi?Karibuni tufarijiane&tuelezane.
Naomba kama huna la kusema pita kimyakimya,kauli chafu sipendi.
 
Madai ya walimu bdo sanaa serikali ya Ccm kumaliza madai ni ndoto.mfano Meru Dc bdo wanadai posho kwani walipewa za siku tatu tu wakaambiwa watapewa mengine mpk leo ni ndoto
 
Kuidai serikali ni shughuli, mie siidai hata mia ila naona kwa wengine
 
Evelyin Salt Nicheki Nina Pm Na Wewe 0682321571
 
Walimu tuna hali ngumu,walimu walimu,na sisi tuna umuhimu walimu walimu,tutazua kitimtim,walim walim.
 
Back
Top Bottom