Abby195
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 183
- 32
Habari ndugu zangu wa JF
Kuna utaratibu ambao nimeugundua unafanywa na watu wa tcu na nacte wakiusupport ambao kwa namna moja au nyingine ni unyanyapaaji na kuwakosesha watu wengi wa diploma kuto kuendelea na masomo yao ya bachelor degree
Naomba nizungumzie kitu ambacho nimekishuhudia mwenyewe japo vingine navisikia wa wenzangu ambavyo sita viongelea coz ntakua mkosefu kwa kuongelea kitu ambacho sina ushahid nacho wa moja kwa moja
Binafsi nimehitimu ordinary diploma in architecture yaani NTA 6 mwaka huu nimeapply kujiunga na bachelor degree kwa fani ya architecture na civil lkn kumekuwa na nafasi chache zimetolewa(admission capacity) kwa watu wa diploma na walioapply ni wengi na karibu wote wana sifa mfano
-Ardhi wana nafasi mbili architecture tu wakat zaid ya watu 80,wameapply
-university of dar es salaam pia nafasi 5 kati ya watu zaid ya 40 walioapply
-ardhi civil wanatoa nafasi 3 kwa watu wa diploma wakati karibia watu 100 wameapply
-ud nafasi 10,na zaid ya watu 200 wameapply
HII IMEKUA MBAYA SANA COZ WATU WA OD wanakua na nafasi finyu haifiki hata robo ya idadi ambayo course inachukua ntatolea mfano ud mwaka jana civil walichukua watu 185 lkn watu wa diploma 10 tu architecture walichukua watu 26 lkn architecture 1
-naombeni mchango wenu watu jamii forum labda km kuna kufahamu juu ya vigezo vya kutoa nafasi ndogo kwa watu wa diploma
NAWATAKIA SIKU NJEMA