said rashid
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 203
- 113
Habari ndugu zangu wa Jf! Nahitaji kuwa consultant mzuri sana, professional hususan katika mambo ya biashara za huduma za afya. Ni chuo au taasisi gani naweza kusomea kozi ya muda mfupi na kuwa na ujuzi mzuri? Nahitaji sehemu iliyosajiliwa na inatoa mafunzo bora. Pawe ndani ya Dar es salaam na muda wangu ni at most masaa 3 kwa siku. Natanguliza shukrani.