Msaada kuhusu fani za VETA

Msaada kuhusu fani za VETA

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,862
Reaction score
3,099
Wanajf polen kwa kazi, naomba kusaidiwa kuhusu VETA hivi ukisoma kozi ya carpentary&joinery au masorn and bricking ukimaliza level 3 je unaweza kwenda kusoma DIT civil engineering au MIST Mbeya ukasome civil engneering ni hayo tu, ahsanten japo form four nimemaliza 2011 na cheti ninacho.
 
Unaweza ndugu yangu kikubwa ni pass mark zako Za O'leval lazima uwe na angalau D math,D phy na D English .hizo ni pass Mark kabla ya devision five kuzaliwa
 
Veta kuna ufundi nguo (Cherehani), magari, Udereva, Umeme, Uashi, Welding,Mapishi,Ukinyozi, nk. Wewe wapenda fani gani?
 
Veta kuna ufundi nguo (Cherehani), magari, Udereva, Umeme, Uashi, Welding,Mapishi,Ukinyozi, nk. Wewe wapenda fani gani?

me nimesoma useremala ndio namaliza mwaka huu sasa nlikuwa nauliza naweza kwenda DIT kusoma civil engineering kupitia matokeo ya veta
 
yah unaweza maana DIT unaanza level 4 nakuendelea
 
Back
Top Bottom