Je ni sawa mtu anaesoma chuo kuingia degree kuanza degree sambamba na yule aliepitia advance na diploma n miaka 3 na advance 2.
Je wataanza chuo pamoja.
Wa advance lazma amzdi diploma mwaka mmoja yaan ad akiwa second year diploma ndo kwanza first ila kwenye suala la kumaliza chuo inategemea na kozi au chuo husika mfano Dit cozi kwa aliyetokea diploma ni miaka mitatu tu ila wa advance yy ni minne so mtamaliza pamoja hyo ni kwa sayansi tens baadhi ya vyuo .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.