HESLB na makato YA 8% YA MISHAARA YA BENEFICIARIES KILA MWEZI

Mjanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,238
324
WATANZANIA WENZANGU, HIVI KARIBUNI BODI YA MIKOPO ILITOA TAMKO LA KUWATAKA WAAJIRI WOTE KUANZA KUKATA 8% YA MISHAHARA YA WAAJIRIWA WAO AMBAO NI WANUFAIKA WA MIKOPO YA HIYO BODI KILA MWEZI (INCOME BASED MONTHLY REPAYMENT). NA SABABU WALIZOTOA KUSAPOTI HOJA ZAO NI HIZI HAPA CHINI...(NUKUU)

"1. COLLECTION OF THE SMALL LOANS REPAYMENT INSTALLMENTS SPREAD OVER A LONGER PERIOD OF TIME RESULTED IN SIGNIFICANTLY HIGHER ADMINISTRATIVE COSTS PER UNIT COLLECTED.

(Kwamba makusanyo madogo kwa muda mrefu yamepelekea BODI kuwa na matumizi makubwa ya kiutawala)

2. THE SMALL LOANS REPAYMENT INSTALLMENTS SET HAVE DEFEATED THE WHOLE CONCEPT OF THE INTENDED STUDENTS' LOANS REVOLVING SCHEME AS THE AMOUNT COLLECTED FROM LOAN BENEFICIARIES WAS VERY INSIGNIFICANT FOR ONWARD LANDING ELIGIBLE AND NEEDY STUDENTS.

(kwamba kiwango kidogo cha marejesho kwa sasa kimeifanya BODI ishindwe kutoa mikopo kwa wahitaji wa sasa wa mikopo)

3. AS THE CURRENT APPROACH DOES NOT CONSIDER THE REAL SALARY OF A LOANEE, THE FIXED RATE OF MONTHLY REPAYMENT HAS BEEN A BURDEN TO LOAN BENEFICIARY EMPLOYEES WITH LOW SALARIES, AND

(kwamba kiwango cha sasa cha marejesho akijaangalia kiwango halisi cha mishahara ya wanufaika wa mikopo, hivyo basi imegeuka kuwa mzigo kwa wanufaika wenye mishahara midogo)

4. THE FIXED RATE OF MONTHLY REPAYMENT HAS TURNED TO BE A DEMORALIZATION TO THOSE WHO INTEND TO LIQUIDATE THEIR LOANS WITHIN A REASONABLE SHORTER PERIOD." MWISHO WA KUNUKUU!

(kwamba kiwango cha marejesho ya sasa inawavunja mioyo wanufaika ambao wanataka/wangependa kumalizia urejeshwaji wa madeni yao kwa haraka)

NB: TAFSIRI HIZI ZINAWEZA ZISIWE SAHIHI SANA!!!!

WANUFAIKA WA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU MNASEMAJE KUHUSIANA NA SWALA HILI??????
 
:cool: nashindwa kuwaelewa HESLB wanapotaka vijana wanaotaka kwenda law school mwaka mmoja baada ya kumaliza chuo wawe wameshaanza kurejesha mkopo ili waweze kukopeshwa tena, sasa swali ni je nani kawaajili vinaja hawa ili wawe na hela ya kuweza kurejesha mkopo? TUNAHITAJI MABADILIKO NA KUFIKIRIA KABLA YA KUTENDA
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom