fleha
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 111
- 103
Nikiwa miongoni mwa wanafunzi ambao wameathiriwa na mfumo wa elimu ya Tanzania natamani kushare nanyi wanaforum juu ya ugumu waelimu hii utakanao na mfumo.
Kuna mengi sana ambayo kwa mtaamo wangu nadhani hayako sawa ila kwa leo ningependa kuzungumzia mpangilio wa madarasa na majukumu yaliyopo katika kila darasa ama kidato.
Elimu ya msingi ina madarasa saba, madarasa ambayo kwa mtazamo wangu ni mengi sana kulinganisha na majukumu aliyonayo mwanafunzi ndani ya miaka hii. Hili linaweza kuthibitishwa na sisi tulioipata elimu hii hivi karibuni kwani miongoni mwetu kuna ambao walifanya mitihani ya darasa la saba wakiwa darasa la tano na wakafaulu na kujiunga na kidato cha kwanza.
Kwanini huu usingekuwa utaratibu wa kawaida? mwanafunzi wa elimu ya msingi ana yapi ya kujifunza kwa miaka saba?.
Kwenye elimu ya sekondari "o level" sina ugomvi napo, lakini tatizo linakuja "A level".
Muda wa miaka miwili ni mdogo sana kwa material yanayotolewa kwenye level hiyo ya elimu. Waliosoma combinations kama PCM, PCB, PGM na nyinginezo zenye wingi wa materials wataubaliana na mimi katika hilo.
Nadhani ingekuwa sawa kama elimu ya msingi ingesomwa kwa miaka mitano kasha A level ikasomwa kwa miaka mine.
Karibuni wadau wa elimu tujadili.