Habari wanajamii, Naomba kama kuna mtu yeyote ana taarifa kuhusu kutoka kwa majib ya scholarship za sultanet of oman tulioaply toka tareh 11 mwezi wa 8 kupitia wizara ya elimu.
Nilikwenda wizaran, nikakuta majina 8 ya waliopata, tuliomba watu 86, wamechukuliwa waliopata one form four to six