Habari njema kutoka tcu for undrgradurate 2015/2016

JITA MAN

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
31
Reaction score
2
Leo TCU walikuwa na kikao na vyuo vikuu vyote tanzania wakijadili kuhusiana na zoez zima la udahili kwa mwaka huu na wamekubaliana na wamerasimisha leo kwamba sasa vyuo vinaweza kutangaza majina ya waliochaguliwa kuanzia leo source nenda kwenye ukurasa wao wa facebook so wakuu tukae mkao wa kula mambo yamesha iva karibuni kwa maoni zaidi
 
Yaani waweke katika kurasa yao ya fb lakini wasiweke katika website yao? Nitarudi ngoja nikaangalie katika website yao
 
kwa wale wa TCU mlio rudia kujaza tena course zenu je mlikutana na hili? na jee mlifanyaje?? msaada plz kwa anaefamu!! plz! nini wanataka nifanye kwa hayo maandindshi mekundu!!?
 
kaka hata mm nimepata tatizo hilo hilo sasa sijui hiyo ishu inaishaje................. mwenye uelewa na hii kitu tunaomba mtusaidie
 
Still This Is Foolish,why Wasitangaze Exactly Date Watatoa Lini Kuliko Kuwasumbua Wadogo Zetu?

Unachonena ni kweli,sijui mfumo wao wa utendaji upo vipi,,kiukweli wanawasumbua sana wadogo zetu!
Madogo walianza kuapply toka mwezi wa 5,mpaka leo wanawapiga chenga tu
 
Leo TCU walikuwa na kikao na vyuo vikuu vyote tanzania wakijadili kuhusiana na zoez zima la udahili kwa mwaka huu na wamekubaliana na wamerasimisha leo kwamba sasa vyuo vinaweza kutangaza majina ya waliochaguliwa kuanzia leo source nenda kwenye ukurasa wao wa facebook so wakuu tukae mkao wa kula mambo yamesha iva karibuni kwa maoni zaidi

Sio Kila Kitu Tcu Watakuwa Wanaweka Kwenye Website Yao Mengine Yapo Facebook.Ukiwa Na Shida Nao Hata Ukiwatext Fb Unajibiwa Haraka Kuliko Hata Kupiga Simu.Tatizo La Vijana Wengi Ktk Mitandao Ya Kijamii Wanalike Page Za Ajabu Na Wanaacha Page Muhimu Kama Hizi Hebu Jaribu Now Kulike Tanzania Commission For University (tcu) Maswali Yote Mnayoulizana Huku Kuhusu Tcu Yashajibiwa Fb.
 
kwa wale wa TCU mlio rudia kujaza tena course zenu je mlikutana na hili? na jee mlifanyaje?? msaada plz kwa anaefamu!! plz! nini wanataka nifanye kwa hayo maandindshi mekundu!!?
Kaka hiyo haimaanishi kuwa hujachaguliwa. Hiyo imekuja kwasababu muda wa kuapply umeongezwa hivyo kama unataka kubadili kozi ni ruksa. Hyo alama nyekundu inaashiria kuwa upatumie kwa makini
 
Sio Kila Kitu Tcu Watakuwa Wanaweka Kwenye Website Yao Mengine Yapo Facebook.Ukiwa Na Shida Nao Hata Ukiwatext Fb Unajibiwa Haraka Kuliko Hata Kupiga Simu.Tatizo La Vijana Wengi Ktk Mitandao Ya Kijamii Wanalike Page Za Ajabu Na Wanaacha Page Muhimu Kama Hizi Hebu Jaribu Now Kulike Tanzania Commission For University (tcu) Maswali Yote Mnayoulizana Huku Kuhusu Tcu Yashajibiwa Fb.

Japo ata mm sijalike lakin hyo nayo ni source yao ya kutoa habari kwahiyo iwe website au fb kote ni hbr za tcu... Tubadil fikra saana.
 
Back
Top Bottom