English Course.

English Course.

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,486
TUNAWEZA learning centre tunatoa huduma ya kujifunza kiingereza (English course ) kwa watu wazima.

Tunapatikana Mbezi Africana na muda wa masomo ni jioni saa 11 mpaka saa 1, kuanzia jumatatu mpaka jumamosi. Njia zetu za ufundishaji ni nzuri na rahisi kwa wale wanaopenda kuongea kiingereza kwa ufasaha.


Form za kujinga na darasa letu zinapatikana Africana Pub, muda kuanzia saa 10 mpaka saa 12 jumatatu - jumapili. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0712275833

WAHI SASA.
 
tafadhali andika hayo maelezo kwa kiingereza angalau tuone mwanga
 
tafadhali andika hayo maelezo kwa kiingereza angalau tuone mwanga

Hahahaha, ISLETS tangazo linahusu watu wasiojua kiingereza sasa litaandikwaje kwa lugha ambayo itawaletea utata kuelewa? Won't that be unfair to the intended audiance and unreasonable to the LC(learning centre) purpose? Be reasonable bana.
 
Last edited by a moderator:
... 'I am politicians ' achangamkie hii nafasi adimu!
 
Hahahaha, ISLETS tangazo linahusu watu wasiojua kiingereza sasa litaandikwaje kwa lugha ambayo itawaletea utata kuelewa? Won't that be unfair to the intended audiance and unreasonable to the LC(learning centre) purpose? Be reasonable bana.

ha ha it was just a joke.... sababu uliyotoa ni ya msingi sana...
best wishes.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom