Shule nzuri ya TAQWA HIGH SCHOOL iliyoko mkoani MWANZA ni shule ya private yenye michepuo ifuatayo
PCM,PCB,CBG,EGM,PGM,HGE,HGK,HKL, NA HGL ada ni nafuu sana fika mwanza mtaa wa GHANA kuchukua...
wana jf ivi bachelorof science in industrial engineering and management inahusika na vitu gani hasa na ni engineering kama zingine au ipo kiutawala tuu mwenye kuijua anijuzendugu
Naulizia kwa mwenye kufahamu contents (course content) za BSc. in Information Technology Systems na BSc. in ICT with Management, zinazotolewa Mzumbe university. Pia naomba kujua ipi ambayo iko...
mimi ni mwalimu wa shule ya msingi huku tabora wilaya ya uyui nahitaji kubadilishana na mtu aliyeko mbeya wilaya ya kyela,mbozi,mbalali au tukuyu kam upo tayali tuwasiliana kwa namb 0762468206
Kuna dogo anajiandaa kwenda kusoma Clinical Officer, Kaniuliza hilo swali.... Nilichomjibu ni kwamba azingatie masomo anayofundishwa, aweke bidii kwenye kusoma na pia afanye juhudi apate GPA kubwa...
Za muda huu wanajamvi ni lini chuo cha mwalimu nyerere memorial academy kita toa majina post undergraduate 2015/16.Kwani vyuo vng vmesha toa majina lakini wao bado. Wanawapa wadogo zetu wakati...
Msaada Kwa Yoyte Yule Anaezijua Kwa Undani Shule Za Private Zenye Ada Chin Ya Mil.1
Zilzopo Mwanza Ama Kagera Naomba Anitajie Na Kama Inawezkana Ata Mawasiliano Yao Niyapate..
Tashkuru Xana Kma...
Tukutane hapa wale wote waliopo na watakao kuwepo kwenye hii college.
Ambayo inajumuisha course zifuatazo...
1. BACHELOR OF COMMERCE IN SMALL BUSINESS ENTERPRENEURSHIP
2. BACHELOR OF COMMERCE IN...
Mdogo wangu wa kike kamaliza form 4 mwaka jana 2014 amepata GPA ya 1.4 hajapangiwa form5 ,je kwa grade yake atapangiwa chuo cha ualimu bila yeye kuomba au inakuaje......?
What is ICDL?
The ICDL programme defines the skills and competencies necessary to use a computer and common computer applications. It offers a wide range of modules including Computer...
Samahani watanzania wenzangu, naomba ushrikiano na msaada wenu,
Naomba kwa yoyte anaezifaham shule za private za kidato cha 5&6 zenye ada nafuu zilizopo mkoani Mwanza au Kagera anisaidie...
jaman dogo lang anataka kureset choices naomben ushaur chuo gan akipe first priority kwa Procurement coz now kachanganyikiwa ana upper second but mwanzon aliweka hii firs AIA arusha, second mzumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.