Mbona mimi hata kuona kozi zangu wanaandika 2 vitu vya ajabu
Mambo yanaenda kidogo kidogo
Jamn nataka kujua wale tulio chagulia tunarepot Lin chuo mfano udom
Jamn nataka kujua wale tulio chagulia tunarepot Lin chuo mfano udom
Kwahiyo tcu ikishakuchagua ndo tayar? Na hyo waiting for institutional approval haina effects?