Nacte wana mpango gani?

Nacte wana mpango gani?

philipo.co

Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
53
Reaction score
6
TCU tayari wametoa third round lakini nacte hatuoni chochote na baadhi wanasema wamechaguliwa lakini profile zao hazionyeshi status ya kuchaguliwa kwao why this?
 
Mi nimepanga kufungua profile yangu tarehe 20 nasubiri hiyo deadline yao ipite kwanza maana hawana hata update zozote wao kimya tuu siwaelewi kabisa asee
 
Hata mm profile yangu haijabadilika chochote zaidi ya kusomeka kuwa nisubili hadi tarehe 16-10 lakini nimeingia T.I.A nimeliona jina langu kuwa nimechaguliwa
 
Hata mm profile yangu haijabadilika chochote zaidi ya kusomeka kuwa nisubili hadi tarehe 16-10 lakini nimeingia T.I.A nimeliona jina langu kuwa nimechaguliwa

Mim sijaona chochote ktk profile by then vyuo vyote nilivyoomba Tayar vimetoa majina
 
Back
Top Bottom