Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,639
- 47,717
Leo tarehe 12 October,bodi ya mkopo wamekanusha uvumi unaosambaa kuhusu swala la kutoka kwa majina ya waliopata mkopo. Hivyo ingekuwa vizuri tukapunguza kusambaza taarifa za uongo.
Tembelea website yao Higher Education Students' Loans Board -HESLB kwa uhakika zaidi.
#Analyse
Tembelea website yao Higher Education Students' Loans Board -HESLB kwa uhakika zaidi.
#Analyse