Ushauri kwa wale wenye matatizo ya kutopata chuo batch zote

Ushauri kwa wale wenye matatizo ya kutopata chuo batch zote

wisely

Member
Joined
May 11, 2014
Posts
32
Reaction score
4
Nicheck pm au kwa namba hii 0742815465 tushauriane kwa Yale yanayowezekana saidiana
 
Jamani kwani tcu walishatoa majina ya wanafunzi wote kwa ujumla au kila mwanafunzi anaangalia kwenye website ya kila chuo alichokua ameomba? Je kuna namna nyingine ambayo unaweza cheki majina tofauti na kuangalia ktk chuo ulichoomba?
 
Hii thread itakuwa muhimu sana after 3rd round kuisha,

Hiv mnaonaje hali ya hewa ya TCU, hapa hakuna dalili ya 4th round kweli....?? Coz cjaona wakitoa majina ya waliopelekwa 3rd round ili watu wajue idadi na kwa idadi ndio unaweza kufahamu kama kuna 4th round au laa..
Japokuwa siombei iwe hvyo, mnielewe vyema
 
Back
Top Bottom