Kipi ni kipi? I'm conflicted :(

Kipi ni kipi? I'm conflicted :(

Ali Sulei

Member
Joined
Jun 10, 2015
Posts
39
Reaction score
0
Hivi jamani kipi ni kipi between these two, Kusoma kile unachokipenda..That's which you always dream to learn and become (Where your Heart is at) Au, Kusoma kitu marketable I mean kwenye pesa mingi (Where Money is at)??
Let me hear you talk to me please
 
kusoma unachopenda ni vema ila tahadhari ........this theory does nt WORK IN TZ
 
Ajira ndio kila kitu kaka kwa maisha ya bongo..unachopenda wanasoma ulaya ambapo tayar wana misingi frm childhood..
 
Soma tu kilichopo kwenye soko, mambo ya kusoma kitu roho inapenda kama familia ni ya kitajiri sawa,vinginevyo we angalia upepo
 
Ukisoma chenye kitakulipa ila hukipendi huna muda mrefu utaacha kazi ukafanye biashara

Degree ya kukipenda na kulipa lazima viwe kwenye uwiano mzuri.

Mfano mimi ningesomea ualimu ni miaka michache tu ningeachana nao nikafanye mambo mengine
 
Back
Top Bottom