Wadau, TCU wamenichagua kujiunga na Bachelor of Education Special needs Sebastian Kolowa Memorial University.
Naomba kujua kama soko la ajira kwa hii kitu lipo na pia nikimaliza nitaajiriwa kama nani kwa Tanzania yetu hii.
Ahsanteni wakuu.
kuna kitu sijakuelewa unapomwambia inalipa je una uhakika?wewe umesoma hiyo kitu unaijua?. Mtoa mada kulipa kwa kitu ni jitihada binafsi mi naijua vizuri sana hiyo kitu ukitaka info zaidi njoo pm nikushauri
Kwa kuanzia tu ukifika chagua ya viziwi(HI) au ya wasioona(VI) na ukichagua ya viziwi basi uwe mjanja mjanja sana kuhakikisha unajua lugha ya alama na kwa wasioona hakikisha unajua sana breil printings hapo hata ajira ya ualim unaweza kuikataa manake kila mtu atakutaka ila ukimaliza degree hujaiva kwenye hayo maeneo ujue huna tofauti na mwl wa kawaida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.