mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,291
- 799
madogo wa first year ulizeni chochote ili ujiandae kisaikolojia unakuja kukutana na mziki wa aina gani
madogo wa first year ulizeni chochote ili ujiandae kisaikolojia unakuja kukutana na mziki wa aina gani
Hiyo building economic ndo inahusu kujenga uchumi au?
Architecture baba lao pale ardhi university......lakini shuruba yake si mchezo
yap physivs kama kawaida, utasoma mpk mwaka wa pili,, sema ukiwa mfuatilisji ni simple ila inahitaji devotionhv kusoma building economy inategemea physics o-lever