Kwa wale tuliochaguliwa IMTU

Kwa wale tuliochaguliwa IMTU

dekitambi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2015
Posts
663
Reaction score
764
Wakuu kama kunawadau humu ndani wanaofahamu chochote kuhusu IMTU tujuzane, maisha kiujumla na gharama za hostel.
 
Unazungumzia level gani ya elimu diploma,degree Au certificate weka wazi maana maisha yanatofautiana hapo.
 
Maisha yapo poa tu kiujumla ila unatakiwa uwe makini siunajua uku uzunguni ukiwa na tabia za kuiga watu lazima utakaa tu,embu tujuze umeona majina kwenye tovuti ya chuo au ukurasa wako binafsi?
 
kwa profile pia kupitia email ..na kupitia simu ya mkononi
 
Back
Top Bottom