angalizo kwa wale wa missing diploma qualification ya kwanza kabisa NACTE

integral sign

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
160
Reaction score
13
leo nilienda NACTE kuhakiki taarifa zangu baada ya kuona profile yangu bado ipo vile vile(mbele ya diploma qualification naona neno UPDATE na REMOVE, halafu chini yake naona ADD MORE QUALIFICATION)
Wao wakachukulia simple sana na kuniambia selection zinaendelea wkt deadline ni kesho. Nilivomuomba anioneshe matokeo yangu ya NTA akashangaaa hakuna matokeo yangu. kwa iyo inaoneshanilikosa selection kwa sababu matokeo hakuna kwa fasta fasta,

Toka nilivoona jina langu lipo ktk missing dipl. qualification siku ya kwanza na baadae majina kupunguzwa kutoka elf 2 na kitu na kuwa elf 1 na kitu, blanda ndipo ilipoanza kufanyika. Baada ya kuona jina limetoweka ktk mazingira yasiyo ya kawaida nikaenda kuwacheck nikaambiwa kulikuwa na ERROR kwenye utoaji wa yale majina na ukiona humo ktk list ujue yapo SAWA now.
cha kushangaza LEO HII naambiwa tena sina MATOKEO tena? Kumcheck anayehusika na ku upload akayaona matokeo yapo sawa. Akaniambia suala langu linataka muda so niende tuu home. Hadi sasa sioni chochote kilichobadilika. kesho tena asbh sana naenda tena.

USHAURI kwa waliokuwa na hizo missing jaribuni ku crosscheck kwani hata simu zao hazipokelewi au haziiti kabisa.
 
Mm ni kama ww ila c kuwa na tatizo la kukosa diploma qualification....so adi now cjui tatizo ni nini
 
integral text me kwa no hii pls 0762896858
 
Back
Top Bottom