DEO sekondari Kigoma manispaa "unapogoma mtumishi kumfuata mume" unataka iweje?

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
1,976
3,122
Wana jamvi kuna huyu DEO sekondari kigoma manispaa (mr. Sangwa) ana ukilitimba, jeuri, kiburi na usumbufu usio mfano wakati wa kupitisha barua za watumishi wake hasa akina dada wanapotaka kuhama kuwafuata wenzi wao kwa utaratibu ulio wekwa na serikali.

Sijui lengo nini but anakuwa ni mtu wa kuwazungusha kuweka sahihi tu huku akimzungusha mtumishi kila leo huku akitoa sababu zisizoeleweka kiutaratibu, mara hadi utimize miaka kadhaa, mara njoo kesho au kesho kutwa, sijui unataka aoe wote ama? kwani kuna shida gani kusign barua ya namna hiyo kama hajakizi vigezo kama ni kweli si comment akakwame mbele ya safari?
 
Hawa ma deo huwa wanajifanya miungu w2 kila halimashauri ma deo ni kikwazo kikubwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom