Erickson0708
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 207
- 34
Iv inawezekana kwenda chuoni moja kwa moja kuomba nafas bila kuihusisha TCU. Na kama inawezekana nn madhara yake.
Iv inawezekana kwenda chuoni moja kwa moja kuomba nafas bila kuihusisha TCU. Na kama inawezekana nn madhara yake.
Kama Hukuomba Mkopo Haina Madhara Ila Kama Uliomba Mkopo Usithubutu Ndugu Yangu,,,utalia Kilio Cha Mbwa Mwizi
Duhhh madhara yake n yap
Duhhh madhara yake n yap