chichinho Member Joined Sep 29, 2015 Posts 8 Reaction score 0 Oct 17, 2015 #1 habari zenu wanajamii forums..naomba kufahamishawa kwa mwenye kuifahamu na nakuielewa kozi ya applied zoology..ajira .changamoto zake nk
habari zenu wanajamii forums..naomba kufahamishawa kwa mwenye kuifahamu na nakuielewa kozi ya applied zoology..ajira .changamoto zake nk
Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,576 Reaction score 8,052 Oct 18, 2015 #2 hyo kozy ni noma sana yani utakua kama chiziiiii
Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,576 Reaction score 8,052 Oct 18, 2015 #3 maana utakua unasoma ualimu wa watu wazima yani.....si mchezo
chichinho Member Joined Sep 29, 2015 Posts 8 Reaction score 0 Oct 18, 2015 Thread starter #4 labda ungefafanunua kdgo mkuu apo