coz gan mkuu? kama ni udokta asee jipange michango ni mkwanja mrefu. pexa za practical, mavaz yenu yale meupe na viduburwasha kibao. ndugu fungua website yao halaf pitia announcement pale utawezA ona fee structure kwa mwaka huu2015/2016 asante.habari wakuu, naombeni mnijuze gharama zinazohitajika ili kukamilisha usajiri hapo ajuco.maana nimechaguliwa hapo afu join instruction aijatoka hadi muda huu na familia yangu kifedha haipo vzur, ningependa kujua gharama ili nianze kujipanga mapema.