KWA MWENYE TARIFA NA JOIN CHUO CHA MWALIMU NYERERE ANIJUZE ISHA NIKWAMISHA KUPATA RUHUSA KAZI NA SIKU NDOHIZO ZINA SOGEA KAMA UTAIPATA NITUMIE selestinmichael@gmail.com AU michaelrugimbana@yahoo.com
degree ya mathematics na degree ya statistics kazi zao ni sawa?na pia mtu wa economics na mtu wa statistics..maana kazi nyingi za takwimu unasikia mtu awe na degree ya hesabu au statistcs,na pia...
Jamani tuliotuma maombi ya special diploma UDOM tunaweza pewa nafasi ? Au wanatosha wale form 4 waliochaguliwa direct kusoma hiyo diploma, msaada please!
Habarini wana jamvi
Naombeni wana jf mnipatie mfano wa mtu ambaye aliwahi kuwa chuo kisha kuwa sponsored na heslb kwa bahat mbaya aka disco na baadae akaamua kuomba chuo tena na kupata pamoja na...
NIT kiwango cha elimu kwenye kozi ya IT wapo deep ukilinganisha na vyuo vingine? Maana hata tovuti yao inanipa mashaka kwa namna ilivyo. Naona kama sio makini kwenye vitu vidogo kama hivi...
Habari! Swali. Je upo uwezekano wa kuomba uhamisho kwenda mkoa mwengine hata kama hujapata barua ya Tscd ambayo nasikia unapewa baadacya mwaka mmoja??
Kama haupo je kama una matatizo ya...
Last week waliwapangia watu vyuo na profile zao zikaonesha wako selected
Leo selected imeondoka na profile imerud kama mwanzo ila capacity zero.
Hii sijui inamaanisha nini
Wakuu habar! leo naomba nizungumze changamoto zangu na mpaka mafanikio ya hapa nilipofika, walengwa wakubwa ni ndugu zangu mwaka wa kwanza.lengo si kuwatisha, bali huwenda ukajifunza kitu.wazazi...
Ingia kwenye profile yako kama umekosa chuo utapewa option ya kujaza vyuo vingine vitano.
Angalizo:
Tulia ufanye uchaguzi sahihi wa kozi na chuo kuepuka vyuo vyenye ushindani na non-priority...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.