Blessed Son
Member
- Apr 23, 2015
- 34
- 23
Natarajia kujiunga na chuo hicho,naomba kwa anayefahamu ada ya diploma in clinical officer ni shilingi ngapi?
mi niko nasoma mvumi cotc ada haizidi 2,5...Karibu sana katika chuo bora kabisa kitaaluma,,,onyo Kama unaona kichwa chako hakiko vizuri tafuta vyuo vingine ukasome mapema maana Shule ya pale sio mchezo unaweza aga mashindano mapema..karibuni sana Mvumi cotc vijana
Mkuu bronchitis naomba uniambie masomo ya semester ya 1...clinical medicine certificate..
Natarajia kujiunga na chuo hicho,naomba kwa anayefahamu ada ya diploma in clinical officer ni shilingi ngapi?
1) ANATOMY AND PHYSIOLOGY
2) PATHOLOGY
3) MICROBIOLOGY AND ENTOMOLOGY
4) ENVIRNMENTAL HEALTH
5) COMMUNICATION SKILLS AND cOUNCELLING
6) COMPUTER
Umechaguliwa chuo gani Kijana