Mr_X JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 1,170 Reaction score 2,341 Oct 19, 2015 #1 Joining instruction imeandika ada 1100000 wakat TCU book imeandika ada 1000000 inakuwaje hapo tusaidieni wakuu kwa anae elewa hyo inshu
Joining instruction imeandika ada 1100000 wakat TCU book imeandika ada 1000000 inakuwaje hapo tusaidieni wakuu kwa anae elewa hyo inshu
Obby18 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 212 Reaction score 172 Oct 19, 2015 #2 kwani mkuu under goverment wanalipa kiasi gani??
Mr_X JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 1,170 Reaction score 2,341 Oct 19, 2015 Thread starter #3 TCU book imeonyesha 1000000 lakn joining instruction imeonyesha 1100000
Yasin21 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 667 Reaction score 404 Oct 19, 2015 #4 Mimi mwenyewe wamenishangaza sana