naweza kuomba UDOM nafasi au nimechelewa

naweza kuomba UDOM nafasi au nimechelewa

mbogawile

Member
Joined
Sep 15, 2015
Posts
41
Reaction score
1
kuna mdogo wangu anataka kujiunga pale udom certificate ya ualimu vip jaman amechelewa?? na kama amechelewa mtusaidie vyuo gan vingine aombe
 
ndio umechelewa, cha kufanya subiria wiki 2 baada ya kufungua chuo ukaangalie iwapo utapata nafasi ya kujaza hasa kwa wale ambao watakuwa hawajaripoti
 
Sinoni teachers colloge ilyopo manyara inatoa diploma namb zao hz 0784681720
 
Back
Top Bottom