Tuwekane sawa kuhusu admission letters za Chuo Kikuu Dodoma

Tuwekane sawa kuhusu admission letters za Chuo Kikuu Dodoma

Adui Bandia

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
91
Reaction score
58
Me nimechaguliwa 2nd round katika chuo cha udom(wait for approval) kwa mujibu wa my tcu profile, asa nimekwenda kwenye web ya udom kudowload admission letter cha ajabu index yangu na jina la mzazi wangu nikiingiza zinagoma. Naomba mniweke sawa ni mpaka watoe majina ya 2nd batch ndo naweza kuaccess au ni tatizo langu tu. kwa wale 2nd round udom na wenye ufaam wa hili niwekekeni sawa mwenzenu.
 
Piga number za simu zilizowekwa katika Hilo tangazo la admission letter watakusaidia tatizo sio wewe wa second batch tu hata wa first batch inasumbua na ni kila mwaka..
 
Piga number za simu zilizowekwa katika Hilo tangazo la admission letter watakusaidia tatizo sio wewe wa second batch tu hata wa first batch inasumbua na ni kila mwaka..
nashukuru ndugu
 
hixo admn letter zinakuwa locked wapigie watakuliza mswali yafuatayo na uwe na majibu ukidelay wanakukatia sim maswali yenyewe ni
1: batch la ngapi?
2: namba yako ya form four
3: kozi gani umechaguliwa
ukimaliza watakuambia usubilie kama dkk 5 ukiingia tuu faster inafunguka
 
mkuu hii ni kwa wale ambao wapo selected kutoka chuo au hata wale ambao wameandikiwa selected kwenye profile zao
 
hixo admn letter zinakuwa locked wapigie watakuliza mswali yafuatayo na uwe na majibu ukidelay wanakukatia sim maswali yenyewe ni
1: batch la ngapi?
2: namba yako ya form four
3: kozi gani umechaguliwa
ukimaliza watakuambia usubilie kama dkk 5 ukiingia tuu faster inafunguka
nimekusoma sana mkuu shukran, heshima kwako
 
nkobhe ivi tcu cas tokea jana ni erro mins clozd au wanajiandaa 3rd batch
 
web udom haifunguki kwa sasa,probably wanaifanyia updates za kuweka hayo majina
 
bado hata hawajaweka.
UDOM cjui wanalengo gani na sisi batch nyingine hata hawa weki
 
Vp Adui Bandia umeshafanikiwa kuaccsses iyo admission letter?
 
Usiwe na haraka subr uone majina udom web ya 2round ndo nazan hat kaz ya kuandaa admission letter kwa kila mmoja co ndogo
 
Almost wote wa 2nd round inasumbua. Hata mdogo wangu anatatizo ilo.

Nadhani hadi batch ya pili itoke
 
Wakuu mm nmechagulwa medcn udom bado cjachkua admission letter,naomba kuulza kwa anaefaham gharama za kulipia zote(hela) il uweze kusajilwa?
na je ni lazma kwenda na result slip,living cert,na academic cert za form six au za form four znatosha?nawasilisha wakuu!
 
bora hata nimesoma comment zenu nikapata majibu yaliyokuwa yananisumbua
 
Kwa information zaidi juu ya kusajiliwa chuoni nichek # 0652501314
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom