naskia huko mambo sio mazuri kabisa haki ya mungu. pitia thread za nyuma kidogo utaona hiyo thread kuna wenzio waliosoma hapo yyan wanalalamika balaa/ ada kubwa wakat darasa hamna na mib arabara mibovu. umechaguliwa coz gan ndugu angalia usije kujutakwa walewalio chaguliwa bagamoyo tushauriane na kujuzana habari mbalimbali zinazotuhusu