Kumi bora na Shule mbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumi bora na Shule mbili

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Petro E. Mselewa, Jan 11, 2013.

 1. Petro E. Mselewa

  Petro E. Mselewa Verified User

  #1
  Jan 11, 2013
  Joined: Dec 27, 2012
  Messages: 6,558
  Likes Received: 6,780
  Trophy Points: 280
  Nianze kuzipongeza Shule zote zilizoshiriki mitihani ya kidato cha pili na kupokea walichostahili.Nawapongeza pia wanafunzi waliofaulu na kuwapa moyo wanafunzi wanaotakiwa kukariri kidato cha pili mwaka huu 2013.

  Nikiri kuwa,ni mara yangu ya kwanza katika maisha yangu ya miaka niliyokuwepo hapa duniani kuona,kusikia au kuambiwa kuwa wanafunzi bora kumi wa mitihani yoyote ile ya Taifa:darasa la saba,kidato cha pili,kidato cha nne au cha sita kutoka katika Shule mbili tu.

  Hii naiona kama dalili ya kudumaa kwa elimu yetu iliyokuwa imesheheni changamoto za kishule.Sasa,shule za walionacho tu zinafanya zipendavyo.Hili si jambo jema. Ushindani ule uko wapi?

  Hongereni St.Francis na Kaizirege kwa kuwafanya wenzenu 'vibaya'!

  5.0UFAULU WA WANAFUNZI
  Wanafunzi Walioshika Nafasi Kumi za Mwanzo
  [TABLE="class: cms_table_MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD="width: 43"] Na[/TD]
  [TD="width: 222"]
  JINA
  [/TD]
  [TD="width: 72"] JINSI[/TD]
  [TD="width: 174"]
  SHULE
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 43"] 1.[/TD]
  [TD="width: 222"] MAGRETH KAKOKO[/TD]
  [TD="width: 72"] KE[/TD]
  [TD="width: 174"] ST FRANCIS[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 43"] 2.[/TD]
  [TD="width: 222"] QUEEN MASIKO[/TD]
  [TD="width: 72"] KE[/TD]
  [TD="width: 174"] ST FRANCIS[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 43"] 3.[/TD]
  [TD="width: 222"] LUKUNDO MANASE [/TD]
  [TD="width: 72"] ME[/TD]
  [TD="width: 174"] KAIZIREGE[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 43"] 4.[/TD]
  [TD="width: 222"] FRANK J NYANTARILA[/TD]
  [TD="width: 72"] ME[/TD]
  [TD="width: 174"] KAIZIREGE[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 43"] 5.[/TD]
  [TD="width: 222"] GRACE MSOVELLA[/TD]
  [TD="width: 72"] KE[/TD]
  [TD="width: 174"] ST FRANCIS[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 43"] 6.[/TD]
  [TD="width: 222"] HARIETH MAKIRIYE[/TD]
  [TD="width: 72"] KE[/TD]
  [TD="width: 174"] ST FRANCIS[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 43"] 7.[/TD]
  [TD="width: 222"] ROBINNANCY MTITU[/TD]
  [TD="width: 72"] KE[/TD]
  [TD="width: 174"] ST FRANCIS[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 43"] 8.[/TD]
  [TD="width: 222"] HUMRATH LUSHEKE[/TD]
  [TD="width: 72"] KE[/TD]
  [TD="width: 174"] ST FRANCIS[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 43"] 9.[/TD]
  [TD="width: 222"] MUKHSIN HAMZA[/TD]
  [TD="width: 72"] ME[/TD]
  [TD="width: 174"] KAIZIREGE[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 43"] 10.[/TD]
  [TD="width: 222"] ANASTAZIA KABELINDE[/TD]
  [TD="width: 72"] KE[/TD]
  [TD="width: 174"] KAIZIREGE[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2013
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Waziri mwenye kusimamia elimu ni kiazi, repeater, mwizi wa jina la mtu, amesoma kwa magumashi, kichwa cheupe-kichwa nanga.
  Je, unategemea elimu itakuwepo???
   
 3. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2013
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 792
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  lazima kuna tatizo sehemu fulani haiwezekani kwa hali ya kawaida
   
 4. k

  katalina JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2013
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebu tusaidie matokeo mengine yanapatikana kwenye link / adress gani?
   
 5. Kitaeleweka

  Kitaeleweka JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2013
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hii nayo kali
  Tutaona madudu mengi na hii wizara yetu inayoongozwa na aliyeiba vyeti vya watu.
  R.I.P. PHILIP MULUGO

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 6. N

  Ntu JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2013
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Duh ME tumeburuzwa mpaka aibu!!! Hebu nielewesheni hii KAIZIREGE ni ya wapi? Boarding au day? Private au Govt?
   
 7. ashy da don

  ashy da don JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2013
  Joined: Jan 12, 2013
  Messages: 508
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  nd elmu ye2 wadau hao vijana c nd wale waliopta kw makx 90 kat ya 250 daraxa la 7 unategemea fanye majabu mthan wa fm 2
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2013
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,600
  Likes Received: 9,675
  Trophy Points: 280
  Hii nchi bwana yaani ni vichekesho............
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Ni zaidi ya uijuavyo mkuu!!!!


   
 10. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2013
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Iko manispaa ya Bukoba ni Private na ni boarding!..
   
 11. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2013
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 546
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Je watakariri kweli walofeli?
   
 12. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2013
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mbona mwaka 2007 necta form 4 top 10 ilikuwa st.Francis tu wanafunzi wote,mimi sioni cha ajabu hapo!
   
 13. Petro E. Mselewa

  Petro E. Mselewa Verified User

  #13
  Jan 12, 2013
  Joined: Dec 27, 2012
  Messages: 6,558
  Likes Received: 6,780
  Trophy Points: 280
  Mkuu katalina,matokeo ya kidato cha pili ni kama ya darasa la saba. Hayawekwi mtandaoni. Hupatikana kwenye vitabu vya matokeo Wilayani,Mkoani na mashuleni.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2013
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,688
  Likes Received: 769
  Trophy Points: 280
  He!R.I.P tena!?
   
 15. I

  Igwachnya Member

  #15
  Jan 14, 2013
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Halafu kwa nini MUKHSIN HAMZA yupo peke yake?
   
 16. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2013
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 1,913
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Umeanza wewe acha hizo bwana!!
   
 17. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2013
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Msiamushe walio lala ,maana wakiamuka nyie mtakuwa matatani, pia ukitaka kula cha kipofu usimguse mkono.
   
 18. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2013
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Usiamshe waliolala maana wakiamuka wewe ulliye macho utakuwa matatani na ukitaka kula cha kipofu usimguse mkono
   
 19. M

  Makunga JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2013
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 775
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 80


  hajakosea mkuu,kwasababu mwenye jina hilo la PHILIPO MULUGO ilishafariki siku nyingi.
  Halafu kanisani kwetu kuna padre mmoja anaitwa Padri Mulugo,ngoja ntajaribu kumuuliza huenda wakawa ni ndg na mwenye jina halali.
   
 20. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2013
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha wakati nasoma hii post na majina nilijua lazima nitakutana na hii kitu nimecheka sana, plz ebu acha uchokozi mkuu maana ukiwachokoza watakuja kama mvua shauri yako,
   
Loading...