Msaada jinsi ya kupata mkopo kwa hili ninastahili

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Wakuu nimemaliza form 4 mwaka jana nimeaply chuo cha tengeru ambacho ni cha serikal nikapata naenda kusomea certificate ya community development lakini kutokana na,ada kuwa kubwa na mahitaj mengine nimefikiria kuomba mkopo jee naweza kupata? Na jee nifate utaratibu upi ili nipate
 
sorry to tell you this, but hakuna mkopo hapo, anza kujipanga tu
 
Wakuu nimemaliza form 4 mwaka jana nimeaply chuo cha tengeru ambacho ni cha serikal nikapata naenda kusomea certificate ya community development lakini kutokana na,ada kuwa kubwa na mahitaj mengine nimefikiria kuomba mkopo jee naweza kupata? Na jee nifate utaratibu upi ili nipate

Mkuu hapo hapana ktu...mkopo wa helsb km jina lake higher education student loan's board...wanaosomea degree ndio wanaopewa mikopo.
 
Back
Top Bottom