Wakuu Msaada tafadhali,
Nina ndugu yangu amepata nafasi ya kusoma Muhimbili, amepata admission letter lakini kuna form kama C-FORM, medical n.k hakupewa. Wamewaandikia kwamba zinapatikana kwenye website yao. Aliniomba nimsaidie kuzipata lakini sizioni kwenye website yao. wanafunzi wa Muhimbili mwenye hizi form zinazotakiwa/au ameona kwenye website zinazopatikana, anisaidie kuzipata.