Nimechaguliwa Mwenge Catholic University

Nimechaguliwa Mwenge Catholic University

hayolae

Senior Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
180
Reaction score
866
Jamani wana jf mko pouwa?

Mimi nimechaguliwa chuo kikuu cha mwenge fourth round kwani nilikata tamaa kabsa baada ya kuona kila round ambayo ninaaply nilikuwa natemwa nahuku ufahuru wangu sio mbaya hivyo namshukuru mungu kwa sababu imetubidi tumshukuru MUNGU kwa kila jambo pia nawashukuru wana jf kwa ushauri mliokuwa mmeutoa kwangu.

Mwisho nimalizie kwa kusema yeyote mwenye taarifa ya chuo hiki anieleze kuanzia hostel ,ada,joining instruction na pia masomo ambayo unaweza kusoma kama umechaguliwa bachelor's of science na ushauri pia kuwa Mimi nikasome masomo yapi kati ya haya PCB

Ajhsaaanteeeeeni saaana!!
 
"pia masomo ambayo unaweza kusoma kama umechaguliwa bachelor's of science na ushauri pia kuwa Mimi nikasome masomo yapi kati ya haya PCB"

Mbona mnatuaibisha nyie vijana?,hapo umemaanisha wakati unaomba chuo hukuomba unataka bachelor of science ktk nn kati ya hayo?,kwamba wewe huna mipango yako kichwani mpk kuja kuuliza jf watu wakuchagulie cha kusoma?,damn it mnatia aibu,au ni furaha tu ya kupata chuo maana mkiitwa brn vilaza mnalialia hapa
 
It is just how you understand !!!!your right according to your side thank you very much also freedom of speak is your right !!;;;;;;;;
 
Hawo unaowaita vilaza kesho utawakuta ofisini maisha hayako hivyo kujiona wewe ndio bora zaidi kuliko wengine
 
It is not good to speak to the matter which you don't know deeply about it .
 
Title ni God sio god........

Content.....ndo hueleweki kabisa

kwa udsm,ardhi,sua,dit,muhas,mzumbe,must ungeliwaa kichwaaa hadi akili ingekaa sawaa
 
Mtoa mada tuache utani,uwezo wako ni mdogo.

Angalia hata lugha ya malkia uliyoandika kwenye comment zako hapo chini

Na wewe unaenda kufundisha wanetu kemia na baiolojia sasa tutegemee nini aisee
 
hongera mdogo wangu,

upo uzi nimeeleza vizur kuhusu mwecau, registration imeanza leo, masomo yanaanza tarehe 2 / 11 ulipe administration fee 390 ndo usajiliwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom