Tuliokosa mkopo tukutane hapa tufarijiane

Tuliokosa mkopo tukutane hapa tufarijiane

Yes mkuu,

Wanapo kuambia ''You've not secured a Loan'' watatakiwa wakupe na reasons....

Kama hawajakupa reasons kakomae nao hukohuko maofisini kwao hadi kieleweke.
 
Halafu tuweni na subira kidogo, system na hali ya nchi bado haiko njema, sikilizieni kidogo kama wiki mbili tatu...!
 
Unasikiliziaje na wakati unatakiwa ukaripoti chuoni?.
 
wakuu fanyeni kazi mpate hela ya kujisomeshea, kauli mbiu yetu kwa miaka mitano ijayo ni hapakazitu ​kwa iyo jikazeni kinyama.
 
Dah,bora hata sikulipia appeal,nilijua watachoma tu...Poleni kaka na dada zangu halafu kibaya zaidi kuanzia tarehe 2 ndio kinawaka! Yereuwiii
 
Yes mkuu,

Wanapo kuambia ''You've not secured a Loan'' watatakiwa wakupe na reasons....

Kama hawajakupa reasons kakomae nao hukohuko maofisini kwao hadi kieleweke.

na sye wa mikoan je? vp hakna kujuana hko maofsn kwao??
 
Back
Top Bottom