Grade "d"

Grade "d"

dikai

Senior Member
Joined
May 24, 2015
Posts
125
Reaction score
7
vp mtoto mwenye wastan wa "D" matokeo ya la 7 anaenda sekondari
 
Nasikia watachaguliwa awamu ya pili.
Mdogo wangu kapata B Alhamdulillah.
 
Nilisikiaga msingi ni hadi form four hamna kuishia la saba au iikuwa masikio yangu? sasa hii kufeli na kupasi tena maana yake nini warudie?
 
Back
Top Bottom