Wanaofahamu chuo cha Rubya health college msaada zaidi

kipo wilaya y muleba mkoa kagera ndani ndani huko

Utakuwa hukusoma jiografia wewe ..hiki chuo kiko katika eneo moja na seminari pamoja na hospitali ya Rubya, hizi taasisi zote ziko karibu karibu na zote ziko chini ya kanisa la katoriki.
 
kwa hiyo wewe ulosoma jiografia nimekosea wapi au hosp ipo wilaya ya ngara sio muleba km ndo kwenu unatetea sema ila huo ndo ukweli ni ndani ndani interior barabara za makorongo migomba kwa wingi network shida km nadanganya appeal
 
Back
Top Bottom