Hongera waliochaguliwa kozi ya Community Health, NACTE

Hongera waliochaguliwa kozi ya Community Health, NACTE

Kiny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
289
Reaction score
57
Nafurahi kuwapongeza wote waliochaguliwa community health kwani mlikuwa wavumilivu ktk kusubiri selection hadi zilipotoka,
mliokosa msife moyo MUNGU ATAWAFUNGULIA MILANGO MINGINE.
 
wale tuliochaguliwa murgwanza in community health joining instruction form tutazipata vp
 
nisha confirm ila kiukwel m pia sifaham vzur utendaji wake ukoje.
 
Mm nmechaguliwa community health paradigms ..naomba msaada je siwezi kureapply nikabadilisha chuo kingine???

bro mimwenyewe nmechaguliwa st glory na ndo nliweka chaguolamwisho nmewapigia nacte wanadai haiwezekan vp kak kwan wahofia nn pesa aunn
 
Mwenye kujua ada za MBALIZI Health institute anisaidie tafadhali!
 
Jamani naomba link ya hao waliochaguliwa nataka nicheck mdogo wangu kama kachaguliwa.
 
me nmechaguliwa mvumi but nataka nitume maombi ya kuhama chuo sijui naanzia wapi wakuu msaada kwa anaye jua namba 0759744138
 
jamani nimepangiwa Njombe nataka kuhamia kanda ya ziwa, mtakao fanikiwa kuhama tusaidiane
 
Back
Top Bottom