20,000 ya TCU

20,000 ya TCU

City Owl

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
3,787
Reaction score
8,370
Ndugu wanaJF,
Kama kuna mtu wa TCU humu au anayejua naomba anieleze sababu za msingi zilizosababisha TCU kuamua kututwisha wanafunzi wa vyuo vikuu mzigo wa kuwalipa 20,000/=. Mikopo yenyewe hakuna, hali ya maisha ngumu hata ada zinasumbua kwa continuous students halafu bado mnatuongeza mizigo yenu!?? Seriously? Au ndo mnatusomesha namba!?
 

Attachments

  • 1446838656001.jpg
    1446838656001.jpg
    53.7 KB · Views: 372
Ndugu wanaJF,
Kama kuna mtu wa TCU humu au anayejua naomba anieleze sababu za msingi zilizosababisha TCU kuamua kututwisha wanafunzi wa vyuo vikuu mzigo wa kuwalipa 20,000/=. Mikopo yenyewe hakuna, hali ya maisha ngumu hata ada zinasumbua kwa continuous students halafu bado mnatuongeza mizigo yenu!?? Seriously? Au ndo mnatusomesha namba!?

Mbona sis wengine Nacte tunalipia,,,kwahiyo usishangae mkuu TCU inawafanyakazii inahitaji rasilimali fedha,,hivyo changieni tu kama sisi wa nacte tunavyochagiaa
Bure ya lowassa si mmeshaikaa mkasema haiwezekani Basi endeleeni na gharii inayowezekana
 
Kwa chuo nilichopo hyo TCU INSURANCE ya 20,000/= tumeilipa mwaka 2014/2015 na sasa tunailipa tena 2015/2016. We unashangaa kuanza kuilipa wakati wengine tulishaumia kitambo.
 
Back
Top Bottom