Account degree vs CPA

Account degree vs CPA

Elabry

Member
Joined
Oct 25, 2015
Posts
42
Reaction score
15
Habari zenu waungwana, nahitaji kujua utofauti kati ya degree ya account na CPA.

Na Je? Mwenye degree ya account with CPA na yule Mwenye degree ya kodi with CPA yupi ni marketable zaid?

Ushauri wako una thamani kwangu.
 
Back
Top Bottom