Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

wakuu naomba kuulizia primary wanayofundisha computer na secondary wanayofundisha programming...kama ipo naomba tujuzane
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari jf, naomba mwenye kufahamu hatua za kufuata ili nihamishe boom langu kutoka chuo nilichochaguliwa mwanzo kwenda chuo nilichotransfer
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimemaliza form six mwaka huu. Nilisoma Cbg na matokeo yalipotoka nkajua nina credit ya 2.3 Nika apply chuo na makosa nliyofanya kwa maana nilikuwa jeshini na kuna mtu alinisaidia ku apply, yeye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
je kuna watu waliotoka Diploma wamepata mkopo? kama wapo waliopata mkopo wajitokeze manake sisi tuliomaliza Diploma tumetengwa sana kwenye mkopo. Mimi nimechaguliwa UDOM bachelor of education in...
0 Reactions
72 Replies
12K Views
Mtu yoyote mwenye taharifa za wanafunzi hawa wanaosubilia mkopo kutoka kwao maana kunadogo kutoka kijijini alinipa mashamba yake ya urithi nimkopeshe pesa za ada aingie chuo atakapo pewa na bodi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu! kuna vyumba vina pangishwa changanyikeni karibu na udsm kwa wale wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam na wasio wanafunzi tumien fursa hii kwan vyumba vipo karibu sana na chuo...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Wakuu wa JF Mimi ni moja kati ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na open university katika mwaka wa masomo 2014/2015 na niliomba mkopo na kua allocated Tsh.500,000/- tu. Lakini niliamua kuhama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nauliza kwa wale ambao wamechaguliwa hapo, je join instruction zinapatikana hadi ufike chuon? maana hawana website. nataka nimtafutie dogo ili tujue mahitaji yake.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MWL. ana haki gani anapofanya kazi baada ya muda wa kazi k.v. zamu, vikao, kusimamia kazi za shule nk. Sheria inasemaje
0 Reactions
9 Replies
6K Views
salaam.. ndugu zangu nawaombeni mnipe ramani ya kufika kilosa clinical officers training . na pia mwenye taarifa zaid kuhusu chuo hiko naomba anijuze
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wanajf naomba mwenye kujua jinsi ya kusajili kidato cha 6 kama private candidate online. Tatizo ni kuwa kuna dogo alilipia Usajili kabla ya mda kuisha, rafiki yake akamsaidia kusajili ili a...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani ndugu zangu mimi nimechaguliwa kujiunga na elimu ya juu katika chuo cha st.joseph engneering and technology kwa fani ya electrical and communication engneering na mkopo nimepata sasa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu Mimi ni kijana wa Kitanzania ambaye nipo vizuri kwa programming language mbalimbali,natengeneza mifumo mbalimbali za vyuo,shule,HR management system,Hospital management nk,kwa upande wa...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Naomba kufahamu deadline ya usajili kwa first year na Gharama/ kiasi cha fedha kinachoweza kutosha kwa ajili ya usajili na malipo yote ya awali.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nashindwa elewa hivi direct cost ni 77,400 au 97,400??mana waliowahi kufika walilipa 97,400 juzi viongozi wakatangaza kua imeshuka tulipe 77,400 kama zamani.Nimelipa 77,400 napeleka risiti...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Utamshari vipi mtu Fulani mwenye mapenzi na course mbili kati ya hizi achague moja wapo ambayo itakuja kumsaidia kwa baadae.Civil & Electrical Engineering.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu mimi ni miongoni mwa wahanga wa udsm ambao tumebadilishiwa chuo na kupelekwa must mbeya mwenye kukufahamu chuo hiki karibu tujuze
0 Reactions
25 Replies
4K Views
binafsi namsifu sana huyu Mh prezidaaa kwani presha imeisha na nimejawa na amani tele baada ya kupata mkopo Mungu amjalie hekima na maisha marefu. Mr Magufuli. now ntamaliza mwaka kwa amani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Number did not secure a high education loan for academic 2015/16 on a 1,2&3 lot INA maana unakuwa umekosa au tuendelee kusubiri majina yaliyobaki 3095
0 Reactions
4 Replies
1K Views
My father died when i was 4 years 1996,my mumy 2001, study shule ya kata all time, nimechaguliwa course ya science .(computer science) and lot 1,2 and 3 .naambiwa not secure. Naona kama sio real...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Back
Top Bottom