wanavyuo mnalipi la kumwambi Mh Magufuli kuhusu mchakato mzima wa mambo yetu

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,790
3,020
binafsi namsifu sana huyu Mh prezidaaa kwani presha imeisha na nimejawa na amani tele baada ya kupata mkopo Mungu amjalie hekima na maisha marefu. Mr Magufuli.
now ntamaliza mwaka kwa amani.
 
Wewe umepata mkopo mshukuru Mungu. Wengine amani hawana.

Mi ninamwambia inawezekana kabisa kila aliefaulu kwenda chuo akapata mkopo.. Alisimamie hilo.
 
Wewe umepata mkopo mshukuru Mungu. Wengine amani hawana.

Mi ninamwambia inawezekana kabisa kila aliefaulu kwenda chuo akapata mkopo.. Alisimamie hilo.

ndio nami pia nafahamu hilo Mungu Hakika hamtupi mja wake nawaombea
 
Kwa kweli hata mimi, namuomba ajaribu kuliangalia tena kwa wale waliofaulu kujiunga na vyuo wapate mkopo wote. Coz mwenye sifa ni yule aliyepata chuo. Au mwenye sifa anakuaje...? Labda tufahamishane.
 
Magufuli ameshasema na amerudia tena juzi kusema tena kuwa Masuala ya Mikopo ni mambo ya Bodi ya Mikopo, wanachuo mngoje ateuwe baraza la mawaziri ili apatikane waziri muhusika katika mambo ya mikopo!

Elimu bure chini ya Magufuli ni mpaka kidato cha nne tu, mambo ya chuo utaratibu ule ule wa zamani utaendelea kama kawaida, yaani kuna watakaopata mikopo na kuna watakaokosa mikopo.
 
Back
Top Bottom