Usajili form 6

Usajili form 6

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Wanajf naomba mwenye kujua jinsi ya kusajili kidato cha 6 kama private candidate online.
Tatizo ni kuwa kuna dogo alilipia Usajili kabla ya mda kuisha, rafiki yake akamsaidia kusajili ili a download form, bahati mbaya kuna no ya form 4 alikosea, sasa wakati anarudia siku ya pili , taarifa za username na password zikasahaulika, aliyemfanyia yuko Zambia, hakuna mawasiliano...Je nini kinaweza fanyika kwa taarifa hizo? Tunajaribu kukisia hizo taarifa bilaW mafanikio...mwenye uelewa unafanyeje, labda kulekule NECTA,
 
Usajili wa F.6 private candidates umeshafungwa kwa sasa.Hata hivyo jaribu kuwasiliana na NECTA ili wakupe ufafanuzi zaidi.Kupata mawasiliano yao Google NECTA.
 
Back
Top Bottom