bongompya
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 224
- 43
Wakuu Mimi ni kijana wa Kitanzania ambaye nipo vizuri kwa programming language mbalimbali,natengeneza mifumo mbalimbali za vyuo,shule,HR management system,Hospital management nk,kwa upande wa academic system hii itamuwezesha mwanafunzi kujisajiri na pia kuona matokeo yake yeye mwenyewe,pia kwa mwalimu anauwezo wa kuweka matokeo ya mwanafunzi ,kufuatilia mwenendo wa mwanafunzi na pia kujua mwanafunzi kwa kozi alizosajiri.Pia utawala unaweza kupata taarifa za malipo kwa wanafunzi waliosajiriwa n.k. Kwachochote unachohitaji tuwasiliane kwa namba 0687 535650