Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Check kwenye Web yao kama umepata mkopo awamu ya tatu TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo...
0 Reactions
92 Replies
19K Views
Naomba msaada kwa Wale wanaosoma HIGHER DIPLOMA ya SPECIAL NEEDS EDUCATION wamepata mkopo?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, naomba kuwauliza kama kuna mwenye uwelewa juu ya uhusiano wa wanafunzi wa shule hasa sekondari, mfano: kuvaa MODO, MILEGEZO kunachangia vipi kufeli kwao? Na wanafunzi kuvaa sare za shule...
0 Reactions
1 Replies
959 Views
km umechaguliwa TIA dsm campus kwa mwaka wa masomo 2015/2016. uliza chochote hapa utajibiwa
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Nikiwa kama mhanga wa kukosa mkopo na faculty yangu ni priority nimefika bodi ya mikopo leo asubuhi na mapema nikaweza kuwaeleza tatizo wakaniambia sikusaini fomu hivyo nikaenda kwa anayehusika na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mim ni mmoja kati ya waliokosa lots zote 3, nimechaguliwa UDOM- BEDA je watatoa 4th lot? Na kama watatoa itachukua muda gani? Help please..
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habarini za leo! naombeni msaada wa mtu anyeweza kupata joining instruction ya Korogwe teachers college. nina mdogo wangu amechaguliwa huko na ningependa kufahamu mahitaji yao, kabla...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nimeandikiwa hivi; Don't secure a higher education loan for academic 2015/16 on the 1,2 & 3 lot Unakuwa amekosa au tuendelee kusubil majina yaliyobaki 3095 ktka next lot
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Baada ya lot ya kwanza, pili na tatu, za HESLB kupita bila kupata mkopo sasa nimeshindwa kwenda chuo kwa kuwa sina uwezo wa kujilipia ada na gharama zingine za elimu hiyo ya chuo kikuu. Kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kuwa kumbusha na kuwaomba HESLB kuwa mnapoendelea kufanya hiyo kazi yenu nzuri ya ku allocate mikopo kwa first year MSITUSAHAU NASI CONTINUING STUDENTS kwani nasi pia tuliwasilisha maombi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mi mwalm nlpata wa kubadilshana kituo cha kaz na mchakato kwa upande wangu nshamalza(it means kuanzia kuandka barua na kuzsign kote na kupewa kbal kule nnako taka kuhamia na huku nnakotoka na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekua nikitafakari sana kuhusiana na hii mikopo inayotolewa kama msaada kwa wanafunzi wa elimu ya juu na kwa kweli imesaidia watu wengi kutokana na wengi wetu kutoka katika familia za kipato cha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau nilikua nauliza kua kwa mwaka huu amna transfer ya chuo kmoja kwenda kingine au n vip? Mana nimesuburi mpaka daaah shida aaan still nthng til nw. So nilikua nauliza tu kuna mwenye info...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza, nimechaguliwa mech eng. Cha ajabu mkopo umetoka , nimekuta kwenye tuition fee wameweka 80,000/= kwa kweli sikuamini, nikarudia kama mara 3 hv. Ilikuwa kweli...
0 Reactions
103 Replies
15K Views
Naomba kufahamu kama Heslb watatoa lot nyingine maana mimi nimepangiwa kozi ya Geomatics na ni priority lakini sijapata mkopo kwenye lot zote tatu, mwenye kufahamu hili naomba anifahamishe tafadhali
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Special diploma tulioomba mkopo twanufaika kupata mkopo..Thnx Allah
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu, naamini mu wazima ila kwa wale wenye shida mbalimbali msijali Mungu wetu ni mwaminifu bado anawapigania! MADA: Kwa jina naitwa Nikhil ni kijana mwenye miaka 22...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenye kujua jamani kwa nini sisi Special Diploma hatupewi mkopo na Chuo kinafungua keshokutwa tu. Mimi binafsi sijapatiwa mkopo majiuliza kwa hali hii tutaenda kweli bila mkopo?
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Back
Top Bottom