Nataka kufungua 'self-laboratory' nahitaji msaada wa mawazo

Alphaking2023

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,093
2,121
Lengo langu nifungue maabara ambayo itanifaa katika tafiti ninazozifanya hasa katika kutafiti ukweli katika magonjwa tuliyoaminishwa na watu weupe,,
Nimeshafanya uchunguzi kwa kufatilia nakala za wasomi wengi duniani nimeona kuna ubadhilifu mkubwa sana katika magonjwa tunayoaminishwa hasa virusi vya ukimwi&UKIMWI (HIV&AIDS) sasa nimeamua niingie mwenyewe maabara nikakamilishe tafiti zangu nina uhakika na ninachoenda kukifanya kama nitafanikiwa kupata vifaa ndani ya miaka 10 nitakuja na dawa ya kutibu na kuondoa kabisa UKIMWI ...
Naomba wataalamu wanisaidie vifaa muhimu vinavyohitajika katika kufanikisha hili ikiwezekana andika na gharama yake nahitaji na vifaa kwa ajili ya kupima virutubisho vilivyokuwepo katika mimea..
Mawazo yenu ni muhimu katika kuleta ukombozi
 
Sasa hivo vifaa si vimetengenezwa na hao hao weupe kwa ajili ya hizo kazi unazoita zina ubadhilifu, utafanyaje kazi na hvyo vifaa halaf uje na majibu tofauti?
 
Back
Top Bottom