Msaada wa program nzuri ya ku - type Mathematics

Msaada wa program nzuri ya ku - type Mathematics

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,134
Reaction score
664
Wana JF habariza majukumu? nimatumaini yangu kuwa nyote ni wazima. Mimi ni mwalimu wa hesabu, hivyo mara nyingi nalazimika kuchapa kazi zangu za hesabu kama mitihani nk.

Changamoto niliyonayo ni program gani ni nzuri na rahisi zaidi katika kuchapa kazi hizi? Nimejaribu kutumia Mathtype lakini inatumia muda mwingi, pia nimetumia kidogo Mapple 18, bado sijaielewa vizuri, nimeona ni nzuri lakini nashindwa kuweka maumbo kama duara,mstatili nk. pia alama kama division siioni.

Napata ugumu sana kuchapa kazi za hesabu, hivyo kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata program rahisi zaidi au hata maelezo ya kunisaidia kutumia mathtype na mapple kwa urahisi anisaidie, natanguliza shukrani.
 
Tumia MS word ya kuanza 2007 ina alama nyingi sana za hesabu.Nenda INSERT->SYMBOL utazikuta. Hata maumbo yanapatikana kwenye word. Nenda INSERT->SHAPE utayakuta.
 
Wana JF habariza majukumu? nimatumaini yangu kuwa nyote ni wazima. Mimi ni mwalimu wa hesabu, hivyo mara nyingi nalazimika kuchapa kazi zangu za hesabu kama mitihani nk. Changamoto niliyonayo ni program gani ni nzuri na rahisi zaidi katika kuchapa kazi hizi? Nimejaribu kutumia Mathtype lakini inatumia muda mwingi, pia nimetumia kidogo Mapple 18, bado sijaielewa vizuri, nimeona ni nzuri lakini nashindwa kuweka maumbo kama duara,mstatili nk. pia alama kama division siioni. Napata ugumu sana kuchapa kazi za hesabu, hivyo kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata program rahisi zaidi au hata maelezo ya kunisaidia kutumia mathtype na mapple kwa urahisi anisaidie, natanguliza shukrani.
...Mwl. kuna office productivity application inaitwa libreoffice (just google it), ina vitu vinaitwa formula/math na draw. Hebu pata muda uipitie, labda itakufaa. Ni ya bure.
 
Chora maumbo yako piga picha insert picha kwenye MS word. Just kiding friend!!
 
Back
Top Bottom