motonkafu
JF-Expert Member
- Dec 2, 2015
- 1,019
- 703
1. Rudisha somo la kilimo(agriculture) kwenye level zote kwa sababu ndo uti wa mgongo. Mnafundisha kilimo chuon wakati wanaolima ni form four leavers na standard seven.
2. Somo la uchumi(agriculture) liwe compusory kwenye level zote kwa sababu tuna uchumi mbovu kila mtu anatakiwa kujifunza how to deal with it.
3. Somo la biashara pia liwe la lazima kwenye level zote kwa sababu watanzania wengi wanakimbilia huko wakifeli njia nyingine za utafitaji.
4. Kule primary kuna kitu kinaitwa Maarifa ya jamii ni jipu huuwezi ukakusanya masomo matatu likaw moja. Science ijitegemee kwa sababu ni muhimu.
5. Kule secondary kwenye masomo ya literature watu wanafuta vitabu vizuri wanaleta mavitabu hayana hata literary devices. Vitabu hivi virudishwe; Things fall apart , the beautyful ones are not yet born na is it possible.
6. Tehama na stadi za kazi.
7. Wale waliojaribu kuchanganya physics na chemistry wapelekwe mahakamani manaake walituharibia mlolongo wa kusoma science kwa kipindi icho.
Nimeangalia masomo tu wadau mwaweza leta changamoto zingine.